Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Mtihani Wa Mwigo Wilaya Ya Nyamira Question Paper

Mtihani Wa Mwigo Wilaya Ya Nyamira 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2011



MTIHANI WA MWIGO WILAYA YA NYAMIRA.
102/1
KISWAHILI INSHA.
MUDA: SAA 1 DAIKA45

MAAGIZO KWA MTAHINIWA
1. Andika insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima.
2. Chagua na ujibu swali lingine moja kutoka 2,3 na 4.
3. Kila insha isipungue maneno 400.
4. Kila insha ina alama 20.

MASWALI
1. Kumezuka ugonjwa wa kipindupindu wilayani Kondeni. Afisa mkuu wa Afya ya Umma Daktari
Manani aliteua jopo la wanachama wanane nawe ukiwa mmojawapo. Wanajopo wamekuteua katibu wao. Andika ripoti yenu rasmi uonyeshe matokeo ya uchunguzi wenu na mpendekeze yatakayofanywa
ili kurekebisha hali iliyoko.
2. Eleza vivutio vya kitalii nchini kenya.
3. "Ogopa ni ngao." Andika kisa kitakachothibitisha ukweli wa usemi huu.
4. Andika insha inayoishia kwa maneno haya:.....Nilishangaa nilipojulishwa kwamba niliokaotwa msituni siku tatu baada ya mkasa huo.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers