Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Kiswahili Karatasi Ya Kwanza Ya Mwigo Wa K.C.S.E. Question Paper

Kiswahili Karatasi Ya Kwanza Ya Mwigo Wa K.C.S.E. 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2007



SHULE YA UPILI YA NYERI
KISWAHILI
KARATASI- 102/1
JULAI/AGOSTI 2007
MUDA:

MAAGIZO
~Andika insha mbili.Swali la kwanza ni lazima.
~Kisha changua insha moja nyingine kutoka hizo tatu zilizobakia.
~Kila insha isipungue maneno 400.
~Kila insha ina alama 20.

1."Hamjambo wanafunzi. Ninamshukuru mwalimu mkuu na usimamizi wa shule hii kwa kunialika kuja kuwafahamisha machache kuhusu UKIMWI...."Iendeleze hotuba hii.

2.Kipya kinyemi ingawa kidonda.

3."Jukumu la kukomesha uhalifu ni la jamii nzima." Jadili

4.Ufisadi ni tisho kubwa kwa ukuaji wa uchumi wa mataifa ya Kiafrika. Eleza.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers