Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Karatasi-102/1 Kiswahili Question Paper

Karatasi-102/1 Kiswahili 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2012



KISWAHILI
KARATASI-102/1
2012
MUDA:

MAAGIZO
~Jibu maswali mawili.
~Swali la kwanza ni lazima.
~Kisha changua swali nyingine kutoka hizo tatu zilizosalia.
~Kila insha isipungue maneno 400.
~Kila insha ina alama 20.

1.Umeteuliwa mwenyekiti wa kamati inayochunguza chanzo cha matokeo mabaya katika shule ya upili ya Jitihada.Andika ripoti hiyo.
(Alama 20)
2.Mguu mtembezi haukosi mwiba.
(Alama 20)
3.Riwaya iliyonivutia.
(Alama 20)
4.Kampeni dhidi ya kuenea kwa UKIMWI katika jamii yapaswa ilenge kubadilisha mienendo ya watu.
Jadili.
(Alama 20)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers