Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Trans-Nzoia District Mock - Kiswahili Paper 1 Question Paper

Trans-Nzoia District Mock - Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2006



102/1
KISWAHILI
INSHA
Maswali
1. Umefanya utafiti kuhusu chanzo cha migomo shuleni. Andika ripoti yako utakayo
wasilisha kwa mkuu wa elimu mkoani mwako. *TRZ*
2. Binadamu amevumbua mambo mengi katika aushi yake ulimwenguni. Taja na
ueleze athari za tarakilishi kwa maisha ya leo. *TRZ*
3. Kila mkwaju muwi una tumbiriwe.
4. Ni bora wabakaji wanyongwe kuliko kufungwa maisha. Jadili wazo hili. *TRZ*
5. Andika insha itakayomalizikia
. . . Baada ya hayo watazamaji walifumukana kimya kimya wakaenda. *TRZ*






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers