Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Kiswahili Poetry Question Paper

Kiswahili Poetry 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2008



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2007/2008
INSTITUTE OF OPEN LEARNING
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
ARTS

AKS 402: KISWAHILI POETRY

------------------------------------------------------------------------------------------------------------
DATE: THURSDAY 10th JANUARY 2008 TIME: 8.00AM ? 10.00AM
===============================================================

MAAGIZO: Jibu swali la KWANZA na mengine mawili.

1. Fafanua dhana zifuatazo kama zinavyotumiwa katika ushairi wa Kiswahili.
(a) Idhini (uhuru wa) ya mshairi
(b) Mikondo ya utunzi
(c) Tabaini
(d) Balagha
(e) Arudhi

2. Eleza mafunzo yanayotokana na utenzi wa Inkishafi.

3. Huku ukirejelea Mwana Kupona, onyesha wajibu wa mke kwa mumewe.

4. Kwa kuzingatia maudhui ya uadilifu (Shaaban Robert), onyesha umuhimu wake
katika jamii ya sasa ya Kenya.

5. Fafanua namna K. King?ei (Miale ya Uzalendo) alivyoshughulikia swala la uongozi.

6. Harakati za kujenga jamii inayofaa zinapaswa kuendeshwa vipi? Rejelea ushairi wa
E. Kezilahabi (Kichomi na Karibu Ndani).

***






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers