Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Introduction To The Study Of Language Question Paper

Introduction To The Study Of Language 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2007



KENY ATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2006/2007
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR
OF EDUCATION AND BACHELOR OF ARTS
AKS 100: INTRODUCTION TO THE STUDY OF LANGUAGE
DATE: Friday 9th February, 2007
TIME: 8.00 a.m. - 10.00 a.m.
INSTRUCTIONS:
Jibu maswali matatu. Swali la kwnaza ni la lazima.
1.
Bainisha viwango mbalimbali vya uthabiti wa lugha.
2.
Fafanua maana ya lugha huku ukibainisha sifa zake.
3.
Kwa kurej ea kigezo cha uamilifu wa lugha, onyesha aina nne za lugha.
4.
Eleza maana ya dhana zifuatazo:
(i)
Umilisi na Utendaji
(ii)
Lafudhi na Lahaja
(iii)
'Langue na Parole'
5.
(a)
Onyesha sababu za kubadilisha msimbo.
(b)
Bainisha jinsi mbalimbali za ubadilishaji msimbo.
6.
Huku ukitoa mifano, eleza athari za lugha zinazoibuka katika jamii ya
wanaulumbi au wana-uwili lugha.
~-~---






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers