Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Morphology And Syntax Question Paper

Morphology And Syntax 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009




KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
SECOND SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR
OF ARTS AND BACHELOR OF EDUCATION
AKS 300: MORPHOLOGY AND SYNTAX



DATE:
Wednesday 26th August 2009
TIME: 8.00am-10.00am


MAAGIZO
JIBU MASWALI MATATU: SWALI LA KWANZA PAMOJA NA MASWALI
MENGINE MAWILI KUTOKA SEHEMU ZOTE MBILI
SEHEMU A

1.
Kwa kutoa mifano, bainisha tofauti kuu baina ya dhana hizi;-
a) Mofolojia nyambuaji/mofolojia ambishi
b) Sarufi elezi/sarufi elekezi
c) Kiunganishi/kihusishi

2.
Eleza nafasi ya mofolojia katika;-
a) uainishaji wa mofimu
b) upangaji wa ngeli

3.
?Viambishi vyote ni mofimu lakini mofimu zote si viambishi? Fafanua kauli
hii kwa kutoa mifano ya Kiswahili



Page 1 of 2

SEHEMU B

4.
a) Taja sifa tano kuu za nadharia ya Kimapokeo
b) Bainisha waziwazi udhaifu wa sifa zozote nne katika zile ulizozitaja hapo
juu

5.
Changanua sentensi hizi kwa mkabala wa sarufi jadi/mapokeo
a) Madawa ya kulevya yalipatikana hotelini
b) Mwanafunzi hodari alipewa tuzo nyingi
c) Alihudumu Kortini kwa miaka michache
d) Toka
e) Salim na Asha wataimba wimbo wa taifa

6.
Soma sentensi hizi kisha ujibu maswali yafuatayo;-
i)
Nguo ilishonwa na fundi
ii)
Onyancha na Moraa wanavuna mahindi
iii)
Hatafika kazini leo
iv)
Mgonjwa amepata nafuu?

a) Sentensi hizo ziko katika umbo gani? Toa sababu kwa kila sentensi
b) Bainisha maumbo miwili yanayotambuliwa na nadharia ya Sarufi Geuza-
Maumbo.
Page 2 of 2






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers