Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Introduction To The Study Of Language Question Paper

Introduction To The Study Of Language 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2010



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2009/2010
INSTITUTIONAL BASED EXAMINATION FOR THE DEGREE OF
BACHELOR OF ARTS
AKS 100: INTRODUCTION TO THE STUDY OF LANGUAGE
DATE: Wednesday 28th April, 2010 TIME: 8.00 a.m. ? 10.00 a.m.
________________________________________________________________________
MAAGIZO
Jibu swali la KWANZA na mengine mawili.
1.
Eleza namna vipengele au viwango mbalimbali vya isimu vinavyoweza
kumnufaisha mwalimu wa lugha ya Kiswahili AMA katika shule ya msingi AU
katika shule ya upili.
2.
Huku ukitoa mifano inayofaa, fafanua matawi yafuatayo ya isimu:

a)
Isimu jumuifu

b)
Isimu elezi

c)
Isimu elekezi

d)
Isimu jamii

e)
Isimu linganishi
3.
Ujuzi wa lugha unahitaji kuzingatia mambo gani muhimu? Fafanua kwa
kurejelea mifano inayofaa.
4.
Fafanua kwa kifupi dhana zifuatazo za isimu.

a)
Lahaja

b)
Jumuiya lugha

c)
Krioli

d)
Pijini
5.
?Matumizi ya lugha ya binadamu na mawasiliano ya wanyama au wadudu
yanafanana na kutofautiana?. Jadili kauli hii kwa kutoa mifano inayofaa.
6.
a)
Fafanua nadharia tatu zinazohusishwa na asili ya lugha.

b)
Eleza kwa kifupi ufaafu na udhaifu wa kila nadharia hizo.
************
Page 1 of 1






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers