Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Introduction To The Study Of Literature Question Paper

Introduction To The Study Of Literature 

Course:Bachelor Of Arts In Kiswahili And Communication

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2008



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2007/2008
INSTITUTE OF OPEN LEARNING AND INSTITUTIONAL BASED
PROGRAMS
SPECIAL EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS
AKS 201: INTRODUCTION TO THE STUDY OF LITERATURE

DATE: Friday 10th October, 2008

TIME: 10.00 a.m. ? 12.00 noon

MAAGIZO
Jibu swali la kwanza na mengine mawili.

1.
(a)
?Fasihi ni sanaa? fafanua maoni haya.


[alama 10]
(b)
Ni
nini
maana
ya
uhakiki?
[alama
6]
(c)
Kupitia mifano mahsusi, bainisha umuhimu wa fasihi katika jamii.
[alama 10]
2.
?Fasihi simulizi haina umuhimu kwa kizazi cha sasa?. Jadili.
[alama 22]

3.
?Hadithi fupi ni riwaya fupi?. Toa maoni yako.


[alama 22]

4.
Kwa kurejelea chimbuko la tamthilia, bainisha kwamba fasihi andishi ni zao la
fasihi simulizi.






[alama 22]

5.
Fafanua, kupitia mifano, vijenzi vya
ushairi.
[alama
22]

6.
Bainisha vipengele mahsusi vinavyozingatiwa katika uhakiki wa riwaya.










[alama 22]
????.

















More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers