Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Second Language Learning Question Paper

Second Language Learning 

Course:Bachelor Of Arts In Kiswahili And Communication

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
INSTITUTE OF OPEN LEARNING (IOL)
EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS AND
BACHELOR OF EDUCATION

AKS 401:
SECOND LANGUAGE LEARNING

DATE: Thursday, 13th August, 2009

TIME: 11.00 a.m. ? 1.00 p.m.
------------------------------------------------------------------------------------------------------------
AGIZO:
Jibu maswali MATATU yoyote.
1.
Eleza sababu ambazo huwafanya watu kujifunza lugha ya pili.

2.
Fafanua jinsi matokeo ya utafiti wa lugha ya pili yanavyoweza kuwafaidi watafiti
katika taaluma zingine.

3.
Tathmini mbinu tano zozote ambazo hutumiwa kufanyia utafiti wa lugha ya pili.

4.
Jadili sababu sita ambazo huchangia kutokea kwa makosa ya wanafunzi
wanapoitumia lugha ya pili.

5.
Bainisha hatua muhimu za nadharia ya Uchanganuzi Makosa unazopaswa kufuata
unapochanganua makosa ya wanafunzi katika insha.

6.
Eleza jinsi taaluma ya Isimu ? saikolojia inavyoweza kusaidia kufafanua masuala
yanayohusu ujifunzaji wa lugha ya pili.


**************
Page 1 of 1






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers