Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Introduction To The Study Of Language Question Paper

Introduction To The Study Of Language 

Course:Bachelor Of Arts In Kiswahili And Communication

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2010




KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2010/2011
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
ARTS AND BACHELOR OF EDUCATION

AKS 100: INTRODUCTION TO THE STUDY OF LANGUAGE


DATE: TUESDAY, 30TH NOVEMBER, 2010
TIME: 8.00 A.M ? 10.00 A.M

MAAGIZO

Jibu maswali MATATU. Swali la KWANZA ni la LAZIMA
1.
Huku ukitoa mifano, fafanua vigezo vinne vinavyo itambulisha isimu kuwa
sayansi.







[ Alama 26)
2.
Fafanua dhana zifuatazo:

a)
Jumuiya lugha

b)
Lahaja

c)
Fonolojia










[ Alama 22)
3.
Huku ukitumia sifa NNE, dhihirisha tofauti iliyopo kati ya lugha ya binadamu na
mawasiliano ya wanyama.





[ Alama 22]
4.
Onyesha tofauti iliyopo baina ya dhana zifuatazo:

a)
Umilisi na utendaji

b)
Pijini na krioli

c)
Isimu elezi na isimu elekezi



[ Alama 22]
5.
? Lugha ya binadamu hutumiwa kutekeleza dhima mbalimbali?. Eleza NNE kati
ya dhima hizo.






[ Alama 22]
6.
Changanua dhana ya lugha kama mfumo.



[ Alama 22]




Page 1 of 1






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers