Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Gender Issues In Kiswahili Literature Question Paper

Gender Issues In Kiswahili Literature 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009




KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
SECOND SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
ARTS AND BACHELOR OF EDUCATION
AKS 315: GENDER ISSUES IN KISWAHILI LITERATURE

DATE: FRIDAY, 28TH AUGUST 2009

TIME: 11.00 A.M. - 1.00 P.M.

AGIZO: Jibu maswali yoyote matatu.

1.
Dhana ya Uana si dhana ya Kijamii. Jadili.

2.
Onyesha jinsi itikadi za kiuana zinavyojitokeza katika vipera vifuatavyo vya fasihi
simulizi. Toa mifano maridhawa kushadidia hoja zako.
a)
Vitendawili
b)
Methali
c)
Ngano

3.
Utendi wa Mwanakupona ni kielelezo halisi cha mfumo wa kuumeni. Jadili.

4.
Kwa kurejelea tamthilia za Mama Ee (K. Mwachofi) na Kilio cha Haki (A. Mazrui)
jadili jinsi wahusika wakuu wanavyokabiliana na ubaguzi wa uana.

5.
Riwaya za Nguvu ya Sala (W. Wamitila) na Tumaini (C. Momanyi) ni vielelezo bora
vya upinzani dhidi ya mifumo ya kijamii inayokiuka haki za wanawake. Jadili.

6.
Nadharia yoyote inayoshughulikia maswala ya uana haina budi kuzingatia sayansi
ya jamii. Huku ukitoa mifano ya wahakiki mbalimbali, jadili kauli hii.

*************
Page 1 of 1






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers