Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Introduction To The Study Of Literature Question Paper

Introduction To The Study Of Literature 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
SECOND SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR
OF ARTS AND BACHELOR OF EDUCATION
AKS 201: INTRODUCTION TO THE STUDY OF LITERATURE



DATE:
Tuesday 7th April 2009
TIME:
8.00am-10.00am

MAAGIZO
Jibu maswali MATATU. yoyote
1.
Eleza chanzo na dhima ya fasihi katika jamii.

2.
Fafanua maana ya fani kwa kuzingatia vipengele vifuatavyo.:-
a)
Lugha
b)
Wahusika
c)
Maudhari

3.
Fasihi Simulizi na fasihi andishi hulingana na kutofautiana, Thibitisha kauli
hii.

4.
a) Eleza chimbuko la Riwaya.

b) Linganisha na ulinganue Hadithi fupi na Riwaya kwa upande wa fani na
maudhui

5.
Huku ukitoa mifano jadili sifa kadha zinazobainisha utanzu wa ushairi

6.
?Hakuna haja ya kufanya utafiti na kuhifadhi vipengele muhimu vya fasihi
kwa ajili ya vizazi vijavyo? Jadili.


Page 1 of 1






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers