Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Second Language Learning Question Paper

Second Language Learning 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2007



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2006/2007
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
ARTS
. AKS 401: SECOND LANGUAGE LEARNING
DATE: THURSDAY, 15TH FEBRUARY 2007
TIME: 8.00 A.M. - 10.00 A.M.
MAAGIZO:
Jibu maswali matatu yoyote.
1.
Fafanua sababu mbalimbali zinazowafanya watu kujifunza lugha ya pili.
2.
Eleza umuhimu wa matokeo ya utafiti wa lugha ya pili kwa wanafunzi na walimu
wa lugha ya Kiswahili.
3.
Kwa kutoa mifano ya Kiswahili, eleza chanzo cha makosa yanayofanywa na
wanafunzi wa lugha ya pili.
4.
Huku ukirejelea nadharia ya Uchanganuzi Makosa, fafanua hatua muhimu
ambazo mwalimu wa lugha anapaswa kufuata anapochambua makosa ya
wanafunzi katika Insha.
5.
Jadili ubora na udhaifu wa mikakati mbalimbali ya mawasiliano inayotumiwa na
wanafunzi wa lugha ya pili.
6.
"Motisha na mielekeo ya wanafunzi inaweza kuwaathiri wanapojifunza lugha ya
pili". Jadili kauli hii.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers