Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Sociolinguistics Question Paper

Sociolinguistics 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2008



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2007/2008
INSTITUTE OF OPEN LEARNING
SPECIAL/SUPPLEMENTARY EXAMINATION FOR THE DEGREE OF
BACHELOR OF ARTS
AKS 400: SOCIOLINGUISTICS

DATE: Friday 10th October, 2008

TIME: 8.00 a.m. ? 10.00 a.m.

MAAGIZO
Jibu maswali matatu yoyote.

1.
Eleza namna isimu-jamii inavyoweza kutumiwa kufanikisha nidhamu ya
mawasiliano katika jamii.

2.
Fafanua mambo makuu ya kuzingatia katika uteuzi wa lugha ya taifa.

3.
Onyesha tofauti kati ya:
(a)
Pijini na lingua franka
(b)
Uwili lugha na diglosia
(c)
Kuchanganya na kuchamisha msimbo

4.
Bainisha maana ya sajili kwa kuzingatia sajili ya mahakamani na ya mtangazo ya
biashara.

5.
Kwa nini lugha hufa?

6.
Pendekeza namna Kiswahili kinavyopaswa kupewa hadhi kamili ya lugha ya taifa
ya Kenya.
?????






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers