Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Kiswahili Structure Question Paper

Kiswahili Structure 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2007



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2006/2007
INSTITUTE OF OPEN LEARNING
EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION ARTS
AKS 301: KISW AHILI STRUCTURE
DATE: Friday 19th January, 2007
TIME: .9.00 a.m. - 11.00 a.m.
JIBUMASWALIYOYOTEMATATU
1.
Jadili maana ya Lugha huku ukizingatia maoni ya wataalam wowote wawili.
2.
Toa maelezo na mifano muafaka itakayobainisha vipashio vifuatavyo vya Lugha.
(a)
Fonimu
(b)
Mofimu
(c)
Kishazi
3.
Jadili aina zifuatazo za maneno huku ukizingatia matumizi yake katika sentenst.
(a)
Vielezi
(b)
Vivumishi
4.
Huku ukitoa mifano, bainisha alomofu za mnyambuliko katika kauli zifuatazo:
(a)
Kauli ya kutendeka
(b)
Kauli ya kutendana
(c)
Kauli ya kutendesha
5.
Jadili ngeli ya "U - I" huku ukizingatia upatanisho wa kisarufi.
6.
(a)
Eleza maana na kazi ya sentensi.
(c)
Fafanua aina mbili za sentensi.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers