Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Language Policy And Language Planning Question Paper

Language Policy And Language Planning 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
INSTITUTIONAL BASED PROGRAMME
EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS AND
BACHELOR OF EDUCATION

AKS 417:
LANGUAGE POLICY AND LANGUAGE PLANNING

===============================================================

DATE: WEDNESDAY 2ND SEPTEMBER 2009 TIME: 8.00 A.M. ? 10.00 A.M.

MAAGIZO

Jibu Maswali MATATU

1.
Kwa kutoa mifano fafanua dhana hizi;

a)
Lugha rasmi

b)
Lugha ya taifa

c)
Lugha ya kimataifa

2.
Bainisha waziwazi sababu za kuwepo kwa wingi lugha katika bara la Afrika.

3.
Eleza umuhimu wa kila hatua ya nadharia ya sera na upangaji lugha kama
ilivyoasisiwa na Haugen. (1966)

4.
a)
Taja tume zozote mbili zilichangia ukuzaji wa lugha ya Kiswahili.

b)
Tathmini mchango wa kila Tume uliyoitaja hapo juu.

5.
Lugha ya Kiswahili inafaa kusanifishwa upya. Jadili.

6.
?Harakati za ukuzaji wa lugha ya Kiswahili zimeachiwa nchi ya Tanzania pekee?.

Jadili.

Page 1 of 1






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers