Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Oral Literature In Kiswahili Question Paper

Oral Literature In Kiswahili 

Course:Bachelor Of Arts In Literature

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2007



KENY ATT A UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2006/2007
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR
OF EDUCATION AND BACHELOR OF ARTS
AKS 403: ORAL LITERATURE IN KISWAHILI
DATE: Thursday 15th February, 2007
TIME: 4.30 p.m. - 6.30 p.m.
AGIZO:
Jibu maswali matatu. Swali la kwanza ni la lazima.
1.
"Fasihi simulizi na fasihi andishi zapaswa kuangaliwa kwa taswira ya mti na
mizizi". Fafanua kauli hii kwa kutoa mifano inayofaa.
2.
Katika uainishaji wa tanzu mbalimbali za fasihi simulizi, kuna vigezo muhimu
vinavyozingatiwa:
(i)
Fafanuajinsi unavyoweza kuvitumia vigezo hivyo.
(ii)
Eleza upungufu wa kila kigezo.
3.
Kwa kuzingatia utanzu mmoja wa fasihi simulizi ya Kiswahili, fafanua
mambo muhimu ambayo fanani huzingatia katika utunzi na uwasilishaji.
4.
Kwa kutoa mifano inayofaa fafanua mbinu muhimu zinazotumiwa katika
uhakiki wa fasihi simulizi ya Kiswahili.
5.
Eleza sifa kuu za umbo, mtindo na matumizi ya lugha katika tanzu zifuatazo:
(i)
Ngano
(ii)
Nyimbo
(iii)
Methali
(iv)
Ushairi
6.
Kwa kuzingatia mifano inayofaa, dhihirisha kuwa fasihi simulizi ya Kiwahili
inakuzwa na kuendelezwa nchini Kenya.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers