Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Phonetic &Amp; Phonology Question Paper

Phonetic &Amp; Phonology 

Course:Bachelor Of Arts In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
MOMBASA CAMPUS
SECOND SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
ARTS
AKS 200: PHONETIC & PHONOLOGY

DATE: TUESDAY, 31ST MARCH 2009
TIME: 11.00 A.M. ? 1.00 P.M.

MAAGIZO: Jibu swali la kwanza na mengine mawili.

1.
Foni, fonimu na alofoni ni dhana ambazo zina uhusiano kwa kima fulani. Kwa kutoa
mifano muafaka kutoka lugha ya Kiswahili na nyingine yoyote ya Kibantu, thibitisha.











(Alama 26)
2.
Huku ukitoa mifano mahususi, bainisha waziwazi uhusiano uliopo baina ya
fonetiki
na
fonologia.
(Alama
22)

3.
Silabi yaweza kuainishwa katika makundi manne. Dhihirisha madai haya. (Alama 22)

4.
Jadili kwa kina taratibu tatu ambazo zaweza kutumiwa katika uainishaji wa vokali
za Kiswahili.







(Alama 22)

5.
Kwa kutoa mifano mitatu kwa kila moja, eleza aina tatu za mageuko ya
sauti ambayo hujidhihirisha katika lugha ya Kiswahili.


(Alama 22)

6.
Fafanua dhana ya sifa arudhi huku ukielezea sifa za kimsingi na kutua
mifano. (Alama
22)

**************
Page 1 of 1






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers