Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Kiswahili Kidato Cha Kwanza Question Paper

Kiswahili Kidato Cha Kwanza 

Course:Secondary Level

Institution: Kcse question papers

Exam Year:2011



SHULE YA UPILI YA WAVULANA YA PARKLANDS

MTIHANI WA KIINGILIO

MUHULA WA TATU - 2011

KIDATO CHA KWANZA.

MAAGIZO: Jibu maswali wote ya mtihani katika nafasi zilizoachwa.

A. SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA.

1. Akifisha tulipoenda dandora tulimpata shaibu mwenye mvi (alama 2)

2. Eleza tofauti kati ya maneno yafuatayo kulingana na matumizi yake ya shada (alama 2)

i. Ba''rabara

ii. Bara''bara.

3. Andika kwa wingi (alama 2)

Wavu wa uzi huu hufaa kuvulia samaki

4. Eleza maana ya kisarufi ya maneno yote yaliyotumiwa katika sentensi hii (alama 2)

Mtoto mtukutu alichapwa hadi akazirai.

5. Sahihisha sentensi hizi.

i. Nimealikwa Kilimanjaro Hoteli. (alama 2)

ii. Baada ya kununua tiketi nilimkamata basi (alama 2)

6. Kanusha sentensi hizi (alama 4)

i. Utakiosha chombo.

ii. Amenasa gaidi ambaye hutusumbua.

7. Tumia viakifishi vifuatavyo katika sentensi. (alama 4)

i. Koloni

ii. Parandesi

8. Eleza maana ya misemo ifuatayo (alama 4)

i. Tega sikio

ii. Kufa moyo

9. Unganisha sentensi zifuatazo (alama 2)

i. Babake alikuwa mweusi. Yeye si mweusi.

ii. Mkono ni mfupi. Kidole ni kifupi zaidi.

10. Andika visawe vya maneno haya (alama 4)

i. Damu

ii. Jura

iii. Mwanafunzi

iv. Baraste

11. Tumia ''O'' rejeshi badala ya ''amba'' katika sentensi zifuatazo. (alama 6)

i. Mwanafunzi ambaye husoma kwa bidii hufualu katika mtihani.

ii. Ukuta ambao ulibomoka jana ulijengwa.

iii. Kitabu ambacho husomwa sana huraruka.

FASIHI SIMULIZI

12. Nini maana ya fasihi simulizi. (alama 1)

13. Tofautisha fasihi simulizi na fasihi andishi. (alama 10)

KUSOMA

14. Taja aina nne ya kamusi uzijuazo (alama 4)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers