Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Aks: 303: Contemporary Kiswahili Novel And Play Question Paper

Aks: 303: Contemporary Kiswahili Novel And Play 

Course:Bachelor Of Education

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2005



KENYATTA UNIVERSITY
SELF-SPONSORED PROGRAMMES (SCHOOL BASED)
THIRD YEAR THIRD SESSION EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION

AKS 303: CONTEMPORARY KISWAHILI NOVEL AND PLAY

MAAGIZO: Jibu swali la KWANZA na mengine MAWILI

1.
a. Toa maana ya neno ''riwaya'' na ufafanue nguzo kuu za riwaya.
b. Tamthilia ni nini? Eleza sifa kuu za tamthilia (Alama 20)

2. Tamaa na ubinafsi vimeendelezwa kwa namna gani katika riwaya ya Kiu (Ms. Mohamed) (Alama 15)

3. Kwa kutoa mifano, onyesha namna safari ya Nzombo (Walenisi - K. Mkangi) katika nchi ya Walenisi inavyotusaidia kueleza matatizo ya bara la Afrika (Alama 15)

4. Riwaya ya ''Watoto wa Mama Ntilie'' (E. Mbogo) ni kielelezo cha maisha ya wasiobahatika maishani. Jadili (Alama 15)

5. Mhusika Laninia wa Muyaka katika ''Kilio Cha Haki (A. Mazrui) anatoa mchango gani katika ukombozi wa wanawake (Alama 15)

6. Jadili jazanda ya kitumbua kama inavyojitokeza katika riwaya ya ''Kitumbua Kimeingia Mchanga'' (S. A Mohamed) (Alama 15)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers