Kenyatta University Bachelor Of Education (Bed) Aks 302: Theories Of Literary Criticism  Question Paper

Exam Name: Aks 302: Theories Of Literary Criticism 

Course: Bachelor Of Education (Bed)

Institution/Board: Kenyatta University

Exam Year:2005

KENYATTA UNIVERSITY
INSTITUTE OF CONTINUING EDUCATION (SSP-SCHOOL BASED)

EXAMINATION FOR THE DEGREES OF BACHELOR OF EDUCATION AND BACHELOR OF ARTS

AKS 302: THEORIES OF LITERARY CRITICISM

MAAGIZO: Jibu swali la KWANZA na mengine MAWILI

1. Kwa kurejelea fasihi ya Kiswahili, jadili uhusiano uliopo kati ya nadharia, uhakiki na fasihi (Alama 20)

2. Ni kwa kiwango gani tamthilia ya Mfalme Edipode (Sofokile) inaafiki nadharia ya tanzia? (Alama 15)

3. "E. Kezilahabi ni mwandishi aliyekataa tamaa". Jadili kauli hii kwa kurejelea kazi yoyote moja ya mwandishi. (Alama 15)

4. Fafanua nafasi ya mwanamke katika Mama ee (A. Mwachofi) kama mujibu wa matazamo kike (Alama 15)

5. Vipengele vya uhalisia wa kijamaa vimetumika vipi katika kufanikisha riwaya ya Nyota ya Rehema (M. S. Mohamed) (Alama 15)

6. Nadharia ya umuundo imehimiza matumizi ya lugha na kupuuza maudhui. Kupitia mifano kutoka kazi yoyote ya fasihi ya Kiswahili, tathmini umuhimu wake katika uhakiki (Alama 15)More Question Papers


Introduction To Insurance
Cisy 444
Emt 2102: Material Science
Ect202: Instructional Methods In Education
Non Book Media
Principles Of Crop Production
Agec 212:Rural Sociology
Math 100: General Mathematics
Literature Of The African Diaspora(Litt 422)
Business Values &Amp; Social Responsibility(Buss 325)
 
Return to Question Papers