Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Sociolinguistics  Question Paper

Sociolinguistics  

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2007



KENY ATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2006/2007
SECOND SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR
OF ARTS
A~.~QQ.: ...~Q~~Q~I~.GP.~~.T~~~.
DATE: Friday 3rd August, 2007
TIME: 2.00 p.m. - 4.00 p.m.
MAAGIZO
Jibu maswali matatu kati ya haya yafuatayo. Swali la Kwanza ni la lazima.
1.
Kwa kurejelea wataalamu wanne, fafanua kwa tafsili maana ya Isimujamii.
2.
Huku ukitoa mifano, fafanua dhana zifuatazo:
a)
Jamii-lugha
b)
Diglosia
c)
Lingua franka
d)
Kugeuza ndimi
3.
Huku ukirejelea lugha ya Kiswahili, bainisha majukumu ya lugha sanifu.
4.
a)
Toa mifano miwili ya krioli.
b)
Eleza tofauti zilizoko baina ya krioli na pijini.
5.
a)
Eleza maana ya sera ya lugha.
b)
Jadili mambo manne yanayohitaji kuzingatiwa katika utekelezaji wa sera ya lugha nchini.
6.
Kwa kuzingatia matumizi ya lugha nchini Kenya, dhihirisha uwiano uliopo kati ya lugha na utabaka.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers