Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Contemporary Kiswahili Novel And Play Question Paper

Contemporary Kiswahili Novel And Play 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2006



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2005/2006
INSTITUTE OF CONTINUING EDUCATION (SSP-SCHOOL BASED)
AUGUST SESSION EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR
OF ARTS
AKS 303: CONTEMPORARY KISWAHILI NOVEL AND PLAY
DATE: Wednesday 27thDecember, 2006
TIME: 8.00 A.M.-12.00 P.M.
INSTRUCTIONS:
Jibu swali moja kutoka kila sehemu.
Sehemu ya A ni ya LAZlMA.
SEHEMU YA A: NADHARIA
1.
Kwa kurejelea riwaya moja na tamthilia moja, fafanua vipengele vikuu vya kuhakiki na kuchambua fasihi. (alama 20)
SEHEMU YA B: RIWAYA
2.
Onyeshajinsi jazanda za Jehanamu na Mbinguni zilivyotumiwa kujenga taswira ya ujenzi wajamii mpya katika riwaya ya Walenisi (K. Mkangi) (alama 15)
3.
Ni kwajinsi gani riwaya ya Bina-Adamu (K. Wamitila) inavyosawiri matatizo yanayokumba mataifa yanayoendelea? (alama 15)
4.
Kwa kurejelea riwaya ya Mwisho wa Kosa (Z. Burhani) eleza namna mwandishi alivyoshughulikia nafasi ya mwanamke katikajamii. (alama 15)

SEHEMU C: TAMTHILIA
5.
Huku ukitoa mifano, bainisha aina tano za uonevu kwa wanawake katika tamthilia ya Mama Be (Ari K. Mwachofi). (alama 15)
6.
Je, Kwa maoni yako ni kwa nini Said Ahmed Mohamed aliita tamthilia yake Kitumbua Kimeingia Mchanga? (alama 15)
7.
"Tamthilia ya Kifo Kisimani (Kithaka Wa Mberia) inahusu usaliti". Kwa kutoa mifano mahsusi, bainisha aina nne za usaliti? (alama 15)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers