Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Introduction To The Study Of Language  Question Paper

Introduction To The Study Of Language  

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009



KENYATTA UNIVERSITY
INSTITUTE OF OPEN LEARNING
MARSABIT CENTRE
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS AND
BACHELOR OF EDUCATION

AKS 100:
INTRODUCTION TO THE STUDY OF LANGUAGE

DATE: MONDAY 19TH JANUARY 2009
TIME: 2.00 P.M. ? 4.00 P.M.


AGIZO:
JIBU MASWALI MATATU
1.
Huku ukitoa mifano mwafaka, bainisha viwango vitano vya isimu.
2.
Eleza kwa tafsili sita nne kuu za zote za lugha.
3.
Lugha hutumiwa na binadamu kutekeleza dhima mbalimbali?. Eleza nne kati ya dhima hizo.
4.
Kwa kutumia mifano mwafaka, fafanua dhana zifuatazo.
a)
Langwe
b)
Jumuia lugha
c)
Uhamishaji
d)
Uzalishaji/Ubunifu
5.
Eleza na utathmini nadharia ya kidini ya asili ya lugha.
6..
Onyesha jinsi ujuzi wa kiisimu unavyotumiwa katika taaluma zo zote tatu kumfaidi binadamu.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers