Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Phonetics And Pholology  Question Paper

Phonetics And Pholology  

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2009/2010
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
ARTS

AKS 200: PHONETICS AND PHOLOLOGY

DATE: Tuesday 22nd December, 2009
TIME: 8.00 a.m ? 10.00 a.m

MAAGIZO
Jibu maswali matatu
Swali moja kutoka sehemu A na mawili kutoka sehemu B

Sehemu A: Jibu Swali Moja
1.
Linganisha na ulinganue taaluma za fonetiki na fonolojia. [Alama 24 ]
2.
Ujuzi wa kifonetiki na kifonolojia hauna thamani kwa taaluma zingine. Kanusha madai haya kwa kurejelea taaluma nne. [Alalma 24]

Sehemu B: Jibu Maswali Mawili
3.
Ukitumia mifano kutoka vokali za kimsingi ( vokali msingi)fafanua vigezo vitatu vya uainishaji wa vokali. [Alama 23]
4.
Eleza kikamilifu harakati za utoaji wa sauti katika chemba zifuatazo:
a)
Chemba ya mapafu
b)
Chemba ya kongomeo
c)
Chemba ya pua
[ Alama 23]
5.
Ukitumia mifano kutoka Kiswahili, eleza MOJAWAPO ya mabadiliko (mageuko) ya kifonolojia: yafuatayo:
a)
Usimilisho
b)
Kudhoofika
[Alama 23]
6.
Ukirejelea maumbo mbalimbali, tofautisha aina nne za silabi. [ Alama 23]






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers