Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Morphology And Syntax  Question Paper

Morphology And Syntax  

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2008



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2007/2008
INSTITUTE OF OPEN LEARNING
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
ARTS

AKS 300: MORPHOLOGY AND SYNTAX

------------------------------------------------------------------------------------------------------------
DATE: TUESDAY 8th JANUARY 2008 TIME: 8.00AM ? 10.00AM
===============================================================

MAAGIZO: Jibu maswali matatu yoyote.

1. Fafanua dhana hizi:
(a) Mofolojia ambishaji
(b) Mofolojia nyambuaji
(c) Alomofu

2. Kwa kutoa mifano maridhawa, eleza sifa hizi za mofimu:
(a) Mofimu ni kipashio chenye umbo halisi.
(b) Mofimu ina maana.
(c) Kila mofimu ina nafasi yake ya kisarufi katika lugha.

3.
(a) Taja mbinu zozote nne za uundaji maneno.
(b) Toa udhaifu wa kila mbinu.

4. Kupitia kwa mifano ya Kiswahili, onyesha umuhimu wa somo la sintaksia.

5. Tunga sentensi za Kiswahili zinazosheheni vipashio hivi:
(a) KN (b) KKV (c) KL (d) KT (e) KU

6. Fafanua dhana hizi:
(a) Sentensi sahili
(b) Utendaji
(c) Ugeuzaji
(d) Kirai
(e) Sentensi ambatano






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers