Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Introduction To The Study Of Language Question Paper

Introduction To The Study Of Language 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2006



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2005/2006
INSTITUTE OF CONTINUING EDUCATION (SSP.SCHOOL BASED)
EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS
AKS 100: INTRODUCTION
TO THE STUDY OF LANGUAGE
DATE: Wednesday 27 December 2006
TIME: 8.00a.m-12.0Onoon
AGIZO
Jibu maswali MATATU. Swali la kwanza ni la lazima.
1. Bainisha viwango mbalimbali muhimu vya isimu. [Alama20]
2. Taja na ueleze aina nne za lugha huku ukionyesha uamilifu wake katikajamii. [Alama 15]
3. Eleza nadharia zozote mbili za asili ya lugha huku ukionyesha upungufu na udhabiti wazo. [Alama 15]
4. Eleza kwa tafsili matawi yoyote matano ya isimu. [Alana 15]
5. Ni kwajinsi gani tunaweza kuamua tofauti kati ya lahaja na lugha. [Alama 15]
6. "Maingiliano ya lugha moja na nyingine huweza kuzua lugha mpya" Fafanua. [Alama 15]






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers