Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Kis 100: Introduction To Language And Linguistics In Kiswahili Question Paper

Kis 100: Introduction To Language And Linguistics In Kiswahili 

Course:Bachelor Of Education Arts

Institution: Masinde Muliro University Of Science And Technology question papers

Exam Year:2008



Page 1 of 2

MASINDE MULIRO UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY(MMUST)
UNIVERSITY EXAMINATIONS
2008/2009 ACADEMIC YEAR
FIRST YEAR FIRST SEMESTER EXAMINATIONS
FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION (ARTS)
COURSE CODE: KIS 100
COURSE TITLE: INTRODUCTION TO LANGUAGE AND LINGUISTICS IN KISWAHILI

DATE: 2nd December 2008 TIME: 8.00 a.m. – 11.00 a.m.

MAAGIZO
Jibu mswali matatu. Swali la kwanza ni la lazima.

Page 2 of 2

1. Nukuu maneno yafuatayo kifonetiki ukitumia Alfabeti ya Kifonetiki ya
Kimataifa (AKIKI):

a) bibo
b) mofolojia
c) kinyang’anyiro
d) lugha
e) yai
f) maji
g) dhana
h) theluji
i) alofoni
j) chuo

2. “Isimu ni sayansi ya lugha.” Jadili sababu TANO kuthibitisha kauli hii.

3. Kwa kutoa mifano maridhawa, fafanua sifa kuu TANO za lugha ya binadamu.

4. Kwa kurejelea nadharia ya kidini, eleza asili ya lugha ya binadamu.

5. Jadili umuhimu wa taaluma ya isimu katika jamii.

6. Huku ukitoa mifano mwafaka, eleza tofauti TANO kati ya lugha ya binadamu
na mawasiliano ya wanyama.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers