Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Kansbag Mwongozo Wa Kiswahili Karatasi 2 Question Paper

Kansbag Mwongozo Wa Kiswahili Karatasi 2 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2009



102/2
KISWAHILI
KARATASI YA PILI
MWONGOZO WA KUSAHIHISHA

1. UFAHAMU
a) Hutokea kwa urahasi mahali na wakati unaofikiriwa kuwa shwari na salama 2mk
b) Ajali haitarajiwi, haizuiliki na hutokea popote na wakati wowote 2mk
c) i)Namna watu wanavyofanya kazi
ii)Vifaa vya kutendea kazi 4mk
d) i)kwa kuwa waangalifu
ii)kupata ujuzi wa kutumia vifaa au kutendea jambo
iii)kuwepo kwa huduma ya kwanza 3mk
e) i)jazba-ari kubwa au kujisahau
ii)makasri-majumba makubwa ya kifahari
iii)makovu-alama ya jeraha
iv)kuepua-kuondoa
T.B Utunzi utegemee mashrti ya K.C.S.E 4MK

2. MUHTASARI
a)
i. -Kiswahili kimeenea kote duniani hata vyuo vikuu
ii. -kiswahili hufunzwa katika vyuo vikuu saba vya umma na viwili visivyo vya umma
iii. -Watu hufunzwa na fasihi kutoka shahada ya kwanza hadi uzamifu
iv. -Chuo kikuu cha Dar-er-salaam,Tanzania ndicho mlezi wa TUKI
v. -TUKI imechapisha majarida na kundaa kamusi
vi. -Chuo cha Makerere pia hufuza Kiswahili
vii. -Nchi zingine ni za Afrika Kusini mwa Kenya na pia magharibi mwa afrika 6mk
b)
i. –Kiswahili ni mojawapo ya orodha ya masomo katika vyuo mbalimbali
ii. -Vyuo vinafadhili utafiti na uchapishaji wa mambo kuhusu Kiswahili
iii. -Nchi huwafadhili /huwadhamini watu kusoma mataifa ya Uropa
iv. -Mafunzo ya kiswahli katika vyuo vikuu hasa Marekani yamepanuka katika majimbo mengi
v. -Lugha ya kiswahili imeingizwa katika mtandao
vi. -Lugha inafunza kama ishara ya hisia za Uafrika (hoja 6*1=6)
T.B
vii. Utuzaji wa alama utegemea utahini wa mtihani wa kitaifa

3. SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA
i. i)m,n,ny’,ng’
ii)/th/,/dh/ 2mk
ii. i) kivumishi kisisitizi
ii)kiwakilishi kisisitizi 2mk
iii. - Ndimi 1mk
iv. - S - KN+KT
-KN-N+V+V
- N- Mkulima
V – Yule
V – Hodari
KT – T+N+V+E
T –Alilima
N – Shamba
V – Kubwa
E – Jana jioni 8*1/2=4
v. i) I –I
ii) A – WA 2MK
vi. i) –Usilolijua ni kama usiku wa giza
ii)Kawaida ni kama sheria
iii)Usiwe kama nanasi kutagia mibani yoyote 1mk

vii. i)sentensi ionye dhana ya ;-pamba ifanye kuonekana maridadi k.m. alimremba kwa maua 1mk
ii)sentensi ionyeshe dhana ya ;-Nyanganya kwa hila ,punja,hadaa
k.mAlimremba pesa zake za karo 1mk
viii. i)yeye-kirai nomino 1mk
ii)kwa kasi sana – kirai kielelezi 1mk
ix. kadiri –mzizi -e-kienselezi –ni – kiishio 3mk
x. Wema ambao walitutendea ulikuwa kifani 2mk
xi. i)Njooni haraka!
ii)Nyinyi nendeni mkaseme 2mk
xii. i)barua tatu – kielelezi cha idadi bainifu 1mk
mara moja-kielelezi cha idadi hali isiyobainika 1mk
ii)-po- -wakati unaowakilishwa na kiambishi 1mk
mwaka ujao-wakati wa neno kamili 1mk
xiii. i) Sitiri – sitara ,ustaarabu,mstaarabu 1mk
ii)tahini-mtihani,utahiniwa,mtahini 1mk
xiv. –Kuonyesha herufi Fulani imeondolewa 1mk
xv. i) nguo – kipozi ½ mk
binti yake – kitondo ½ mk
ii) Ushauri – kipozi ½ mk
wakubwa wake – kitondo ½ mk
xvi. i)Sentensi sahihi 1mk
ii) Sentensi changamano 1mk
xvii. i) kupekua –k.m.-mgonjwa alipeka dawa 2mk
ii)-kulika – chakula kinalika 2mk

4. 4 ISIMU JAMII
i. Ni sayansi ya lugha inayoshughulikia uhusiano wa lugha na jamii 2mk
ii. Umahizi wa lugha zote
Ari ya kutoka kueleweka zaidi
Kukosa msamiati
Kujinasibisha na kunda Fulani 4mk
iii. –Mazingira – lugha mbalimbali hutumika katika mazingira tofauti
- Uhusiano – watu walio na uhusiano Fulani hutumia lugha kihusiano
- Hali ya mtu – k.v.mlevi lugha yake ni ovyo mgonjwa hutumiwa lugha ya kujiliwaza na huruma
-Cheo au mamlaka – k.m.hakimu hutumia lugha ya mahakamani
-Ujuzi wa lugha
-Umri
-Jinsia 4mk






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers