Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Shule Ya Wavulana Ya Upili Ya Eastleigh Mtihani Wa Mwisho Wa Mwaka 2011 Kiswahili Lugha Kidato Cha K Question Paper

Shule Ya Wavulana Ya Upili Ya Eastleigh Mtihani Wa Mwisho Wa Mwaka 2011 Kiswahili Lugha Kidato Cha K 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2011

SHULE YA WAVULANA YA UPILI YA EASTLEIGH
MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA 2011
SHULE YA WAVULANA YA UPILI YA EASTLEIGH
MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA 2011
KISWAHILI LUGHA
KIDATO CHA KWANZA
JINA …………………………………………………….. NAMBARI …………….. DARASA ………….
Jibu maswali yote
Matumizi ya lugha
A. i) taja sauti mbili zinazotamkiwa mdomoni ( ala 2)

ii) sauti w na y huitwa nusu irabu. Eleza ni kwa nini .

B. i) mamako utamamkia aje mamako anapokusalimia “ Masalkheri mwanangu?” (ala 1)

C. i)Eleza maana ya silabi (ala 1)

ii)bainisha silabi katika neno “Fikra” (ala 3)

D. Andika sentensi hii ukitumia lugha ya adabu “Suruali ya maskini ili raruka, sasa matako yanaonekana” (ala 1)

E. Bainisha maneno mbalimbali yaliyotumiwa katika sentensi hii (ala 3)
Nyumba za udongo zilibomolewa na mvua

F. Akifisha kifungu hiki cha maneno kifuatacho (ala 1)
Ukulima hutegemea mambo mengi hali ya anga ndio muhimu zaidi

G. Nomino hizi ziko katika ngeli gani (ala 3)
i)maiti …………………………………….
ii)mbavu ………………………………….
iii)utoto …………………………………..
H. yakinisha sentensi zifuatazo (ala 2)
i)mzungu huyu hataki ngoma zetu

ii)yeye hanywi maziwa ya ngamia

I. Kamilisha marina ya makundu yafuatayo (ala 2)
i)……………..….. ya kuni
ii) …………………… la mawaziri
J. Andika sentensi zifuatazo katika hali timilifu, kisha uzikanushe (ala 4)
i)wao walitembelea nyumbani kwake

ii)ninanunua mahindi kutoka kwao

K. Sahihisha sentensi zifuatazo (ala 2)
i)mnazi ambao ilipandwa umeanguka

ii)mwalimu ambaye aliyenifunza amekuja

L. Tumia vionyeshi vya karibu vinavyofaa katika sentensi hizi (ala 2)
i)mahali ……………………….. panavutia sana
ii) mlango …………………. Umefungwa
M. Kamilisha sentensi hizi kwa miigo ifuatayo (ala 20
i)mbwa alibweka ………………………..
ii)aliteleza matopeni akaanguka ………………………………….

N. Onyesha kikundi nomino na kikundi tenzi katika sentensi zifuatazo (ala 2)
i)ameondoka kwenda nyumba

ii)watu wale wote wanajitahidi katika kazi zao

O. Huku ukitoa mifano ya sentensi, Eleza maana ya (ala 8)
i)kirai

ii) kishazi

iii) sentensi sahili

iv) sentensi ambatano

ISIMU JAMII (ALA 10)
Ni kweli kabisha lugha ya mama huathiri lugha ya Kiswahili kwa namna nyingi. Huku ukitoa mifano, eleza namna tano kuu

More Question Papers

Popular Exams

Return to Question Papers