Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Aks 102:Historical Development Of Kiswahili Question Paper

Aks 102:Historical Development Of Kiswahili 

Course:Bachelor Of Arts In Kiswahili And Communication

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2012



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 20122013
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR BACHELOR OF ARTS
AKS 102:HISTORICAL DEVELOPMENT OF KISWAHILI
DATE:THUSDAY,13TH DECEMBER 2012
MAAGIZO:Jibu mawsali matatu.Swali la kanza ni lazima
1kiswhili ni lugha ya kiafrika yenye asili ya kibantu.Thibitisha kauli hii ukizingatia ushahidi ya kihistoria(AL26)
2Tathmini mchango ya waarabu katika kukuza na kueneza Kiswahili Afrika mashariki(AL22)
3Eleza maana ya lahaja.Fafanua sababu za kijiografia na za kijamii zinazopeleka kuzuka kwa lahaja(AL22)
4Jadili mbinu zozote tano zinazoweza kutumika kukuza msamiati na istilahi katika lugha kiswhili(AL22)
5Fafanua maana ya usanifishaji.Fafanua hatua nne za usanifishaji ukizingatia lugha ya kiswahili(AL22)
6Fafanua sifa zozote tano za lugha ya kimataifa ukirejelea kiswahili(AL22)









More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers