Mount Kenya University. School of social sciences. Department of language and humanities. Bachelor of education (arts). Unit:BLA2108/1211 Kiswahili phonetics and phonology. Main exam 1.Nukuu sentensi zifuatazo kifonetiki ukitumia alfabeti ya kifonetiki ya kimataifa (AKIKI): i)Ng'ombe huyu ni wa yule mganga wa mmiti shamba. ii)Ngoma ikilia kuna jambo au sherehe. iii)Yule msichana wa jirani ni mgonjwa mahututi. iv)Baada ya shughuli nyingi za kutwa,alipigwa na butwaa alipokuta jirani zake wakijifurahisha kwa ngono. v)Taasisi ya uchungizi wa kiswahili imeundwa ili kuwachochea wasomi wa lulugha ya kiswahili. vi)Jumba la mukutano la KICC ni mali ya umma. vii)Kesho adhuhuri nitapokea dola thelathini Viii)Mgaagaa na upwa hali wali mkavu. ix)Fereji na debe la kahawa huku akigonga vikombe mfululizo alidhihiri kutoka kichochoroni. x)Alipit kwenye nyumba ya bimkubwa aliyeeleka sinia ya samaki wa kukaanga walionuka shombo kila siku. 2.Silabi yaweza kuainishwa katika makundi manne.Dhihirisha madai haya. 3.Huku ukitoa mifano mahususi,bainisha waziwazi uhusiano uuliopo baina ya fonetiki na fonolojia.