Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Utafiti unaonyesha kuwa kuna changamoto nyingi katika ufundishaji na usomaji wa ushairi. Changamoto hizi huenda ikawa ndizo huchangia kudorora kwa matokeo ya wanafunzi katika somo...

      

Utafiti unaonyesha kuwa kuna changamoto nyingi katika ufundishaji na usomaji wa ushairi. Changamoto hizi huenda ikawa ndizo huchangia kudorora kwa matokeo ya wanafunzi katika somo la ushairi. Taja changamoto za ufundishaji na usomaji wa ushairi

  

Answers


Francis
- Wanafunzi wengi wana mtazamo hasi kuwa ushairi ni dhana ngumu.
- Kuna baadhi ya walimu ambao pia wana mtazamo hasi kuhusu ushairi.
- Walimu kutojiandaa vyema katika somo hili.
- Upungufu wa vitabu teule vya ushairi katika shule zetu.
- Walimu kutowapa wanafunzi wao mazoezi ya kutosha ya ushairi.
- Walimu kutotambua mashairi yanayoendana na viwango vya wanafunzi, kilugha na kimaudhui.
- Istilahi zinazotumiwa katika ushairi ni nyingi sana.
francis1897 answered the question on January 30, 2023 at 12:42


Next: Eleza umuhimu wa ushairi
Previous: Taja mbinu za kutatua changamoto za ufundishaji na usomaji wa ushairi

View More Ushairi Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions