Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Onyesha matumizi ya kweli kinzani katika kitendawili

Onyesha matumizi ya kweli kinzani katika kitendawili.

Answers


KELVIN
Vitendawili vya aina hii huundwa kwa hoja mbili zinazopingana k.m
i) Ajenga ingawa hana mikono (ndege) ndege hana mikono kama binadamu hata hivyo hujenga kiota.
ii) Ana meno lakini hayaumi (kichana) meno ya kichana hutumiwa kuchana wala si kuuma.
iii) Hufa ikifufuka (bahari kupwa) maji ya bahari huwa (kutoka ufukweni)na kurejea.

kalvinspartan answered the question on July 30, 2018 at 17:41

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions