Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Dhibitisha kwa kutolea mifano utata wa K na G

Dhibitisha kwa kutolea mifano utata wa K na G

Answers


kelvin
Kuku
a) aina ya ndege anayefugwa nyumbani
Gugu
a) mmea unaoota mahali usipotakiwa
b) mmea wa mwituni mfano wa unyasi
Kuni
a) vipande vya mti vya kukokea moto
Guni
a) shairi la arudhi lililokosa kutosheleza kanuni moja au zaidi ya uandishi
Kuna
b) kwaruza kwa kucha /kitu chenye menomeno
Guna
a) toa sauti ya kuonyesha kukataa, kutoridhika, au kuchukia jambo.
Kenge
a) mnyama kama mjusi mdogo
Genge
a) kundi la watu
b) pango/shimo
Kesi
a) daawa/mashtaka yanayosikilizwa mahakamani
Gesi
a) hewa inayotumiwa kupikia au kutiwa katika vinywaji
b) hewa ambayo haigeuki na kuwa majimaji katika joto la kawaida

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 10:03

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions