Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.
“Rasta twambie bwana!”a) Weka dondo katika muktadhab) Taja mbinu zilizotumiwa na mwandishi katika dondoo hilic) Ni kwa vipi mzungumziwa anamchukulia mwalimu mkuu kama hambe?d) Je, mtihani wa maisha ni amwani faafu ya hadithi hii.
Answer Attachments
Next: Bara la Afrika limekumbwa na umaskini mkubwa. Fafanua dhana ukirejelea hadithi ya Tumbo lisiloshiba na Mapenzi ya Kifaurongo
Previous: Jadili mashaka ya Mashaka katika hadithi ya “Ndoto ya Mashaka”
View more Kiswahili Fasihi Questions and Answers | Return to Questions Index
Bara la Afrika limekumbwa na umaskini mkubwa. Fafanua dhana ukirejelea hadithi ya Tumbo lisiloshiba na Mapenzi ya Kifaurongo
Date posted: May 6, 2019 . Answers (1)
“..Wanafunzi wa chuo kikuu si kama watoto vikembe wa shule ya chekechea…..”a) Weka dondoo hili katika muktadha wake.b) Taja na ufafanue tamathali ya usemi uliyotumiwa katika dondoo hilic) Hadithi hii inadhihirisha utegemezi wa binadamu. Fafanua.
Onyesha jinsi maudhui ya utabaka na mapenzi ,yanavyojitokeza katika hadithi ya mapenzi ya kifaurongo.
Huku ukirejelea hadithi ya Tumbo Lisiloshiba na Shibe Inatumaliza, fafanua maudhui ya ukiukaji wa haki.