Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.
“ Mwandishi wa haditi ya Tumbo lisiloshiba ametumia mbinu ya Jazanda kwa ufanisi mkubwa.” Thibitisha
Answer Attachments
Next: The sector below has a radius of 12cm and an angle AOC = 60o is folded to form a cone. Find the volume of the...
Previous: Find the equation of the normal to the tangent of the curve y=x3 – 3x2 + 2x + 1 at the point where x=3. Leave...
View more Kiswahili Fasihi Questions and Answers | Return to Questions Index
Ilikuwa kama vile katia saini ya kutiwa kitanzi bila ya kutambua vipengele vya sheria za utiaji huo wa kitanzi.a) Fafanua tamathali mbili zilizotumika katika dondoo.b) Jadili vipengele vitano vya sheria zinazorejelewa katika hadithi nzima.c) Onyesha dhiki iliyompata mrejelewa kwa kukosa kuvitambua vipengele hivyo.
Date posted: May 6, 2019 . Answers (1)
"Penzi lenu na nani? . . . . Mgomba changaraweni haupandwi ukamea. Potelea mbali mkate wee!"a) Eleza muktadha wa dondoo hii.b) Taja na ufafanue mbinu mbili za lugha zilizotumiwa katika dondoo hili.c) Onyesha vile maudhui ya utabaka yanavyo jitokeza katika hadithi nzima.d) Eleza sifa sita za mzugumzaji kwenye dondoo.
Jadili mashaka ya Mashaka katika hadithi ya “Ndoto ya Mashaka”
“Rasta twambie bwana!”a) Weka dondo katika muktadhab) Taja mbinu zilizotumiwa na mwandishi katika dondoo hilic) Ni kwa vipi mzungumziwa anamchukulia mwalimu mkuu kama hambe?d) Je, mtihani wa maisha ni amwani faafu ya hadithi hii.
Bara la Afrika limekumbwa na umaskini mkubwa. Fafanua dhana ukirejelea hadithi ya Tumbo lisiloshiba na Mapenzi ya Kifaurongo
“..Wanafunzi wa chuo kikuu si kama watoto vikembe wa shule ya chekechea…..”a) Weka dondoo hili katika muktadha wake.b) Taja na ufafanue tamathali ya usemi uliyotumiwa katika dondoo hilic) Hadithi hii inadhihirisha utegemezi wa binadamu. Fafanua.
Onyesha jinsi maudhui ya utabaka na mapenzi ,yanavyojitokeza katika hadithi ya mapenzi ya kifaurongo.
Huku ukirejelea hadithi ya Tumbo Lisiloshiba na Shibe Inatumaliza, fafanua maudhui ya ukiukaji wa haki.