Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Fafanua jinsi mambo hafuatayo huweza kusababisha kutoweka kwa lugha: i) Vita ii) Ndoa za mseto

Fafanua jinsi mambo hafuatayo huweza kusababisha kutoweka kwa lugha:
i) Vita
ii) Ndoa za mseto

Answers


sharon
i)Vita husababisha uhamaji / ukimbizi wa watu kutoka sehemu moja hadi nyingine wahusika wakasahau lugha asiha/mazingira mageni.
ii).1. Watoto hujifunza lugha moja au nyingine au kuzalisha lugha yao.
2. Mke au mume hulazimika kujifunza lugha ya pili akazungumza lugha ya mwenzake.
sharon kalunda answered the question on September 21, 2019 at 08:58

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions