Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Onyesha aina ya virai katika sentensi ifuatayo.Mwanafunzi mzuri husoma ndani ya darasa.

Onyesha aina ya virai katika sentensi ifuatayo.Mwanafunzi mzuri husoma ndani ya darasa.

Answers


sharon
Mwanafunzi mzuri – kirai nomino.
Ndani ya darasa – kirai kihusishi.
sharon kalunda answered the question on September 24, 2019 at 10:15

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions