Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Onyesha kiima na kiarifa katika sentensi ifuatayo. Wanafunzi watakaolala darasani wataadhibiwa vikali.

Onyesha kiima na kiarifa katika sentensi ifuatayo.
Wanafunzi watakaolala darasani wataadhibiwa vikali.

Answers


sharon
Wanafunzi watakao lala darasani – Kiima
Wata adhibiwa vikali - Kiarifa.
sharon kalunda answered the question on October 3, 2019 at 12:01

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions