Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Badili sentensi zifuatazo katika kauli iliyoonyeshwa kwenye mabano (i) Si vizuri mwanafunzi kumwibia mwenzake pesa (Kutendeana) (ii) Mpishi aliharibu mchuzi huu kwa kuongeza chumvi nyingi. (tendeka)

      

Badili sentensi zifuatazo katika kauli iliyoonyeshwa kwenye mabano
(i) Si vizuri mwanafunzi kumwibia mwenzake pesa (Kutendeana)
(ii) Mpishi aliharibu mchuzi huu kwa kuongeza chumvi nyingi. (tendeka)

  

Answers


Maurice
(i)Si vizuri wanafunzi kuibiana pesa.

(ii)Mchuzi huu uliharibika kwa kuongezwa chumvi nyingi.
maurice.mutuku answered the question on October 7, 2019 at 06:34


Next: Use the exchange rates below to answer this question Buying selling ...
Previous: The diagram below shows a pollen – tube entering the ovule of a flowering plant.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions