Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Neno “mlango” lina maana ya “uwazi wa kuingilia nyumba.” Tunga sentensi mbili kubainisha matumizi mawili ya neno hili

Neno “mlango” lina maana ya “uwazi wa kuingilia nyumba.” Tunga sentensi mbili
kubainisha matumizi mawili ya neno hili

Answers


Maurice
i) Ukoo/ nasaha – hawa ni watu wa mlango/ wa samba

ii) Kifungu katika Biblia – Kitabu cha Yohana mlango wa 3 mstari wa 4
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 06:26

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions