Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.
Unda jina moja kutokana na majina yoyote mawili ya Kiswahili sanifu
Answer Attachments
Next: Define the term Stone Age.
Previous: Identify two forms of government which existed in Africa during the Per-colonial period
View more Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index
Yaandike maneno yafuatayo katika ufupi wake(i) Shangazi zako(ii) Mama zako
Date posted: September 25, 2017 . Answers (1)
Tofautisha maana(a) Ningekuwa na uwezo ningesafiri kwenda ng’ambo(b) Ningalikuwa na uwezo ningalisafiri kwenda ng’ambo
Eleza tofauti ya semi mbili zilizopigwa mstari(a) Kevoga hana muhali; ikiwa hawezi kukufanyia jambo atakwambia (hana muhali)(b) Kevogo hana muhula; hivi sasa amekuambia hawezi kukufanyia jambo hili
Andika sentensi tatu kuonyesha maana tatu tofauti za neno KINA
Sentensi ifuatayo ina maana mbili totauti. ZielezeHuyu amekuja kutuliza
Ni mbinu gani za lugha zinazotumiwa katika sentensi hizi?(a) Juma si simba wetu hapa kijijini(b) Juma ni shujaa kama simba
Tumia viunganishi vifuatavyo katika sentensi (a) Minghairi ya(b) Maadam
Tunga Sentensi tano kuonyesha matumizi matano tofauti ya neno KWA
Tunasema kifurushi cha kalamu………………………….. ya ndizi
Fafanua maana ya methali: Waso haya wana mji wao
Tumia kitenzi KAA inavyofaa kujazia nafasi zilizoachwai)Onyango alipofika mkutanoni alikosa mahali pa………………..ii)Watu walikuwa wamejaa na hapakuwa na kiti hata kimoja cha
Andika maneno mengine yenye maana sawa na i)Damu ii)Jura
Zifuatazo ni sehemu gani za mwili (i) Kisugudi(ii) Nguyu
Tunga sentensi moja ukitumia – ki – ya masharti
Unda jina kutokana na kivumishi hiki;Refu
Andika sentensi ifuatayo kwa wingiUwanja mwingineo umechimbuliwa kuongeza ule wa zamani