Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Andika upya sentensi ifuatayo kwa kufuata maagizo uliyopewa. Mbwa ambaye aliripotiwa kuwa ameibwa amepatikana katika bwawa la maji.

Andika upya sentensi ifuatayo kwa kufuata maagizo uliyopewa.
Mbwa ambaye aliripotiwa kuwa ameibwa amepatikana katika bwawa la maji.
(Anza: Katika bwawa............)

Answers


Kavungya
Katika bwawa la maji ,amepatikana mbwa ambaye aliripotiwa kuwa ameibwa.
Kavungya answered the question on November 22, 2022 at 08:46

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions