Trusted since 2008
Chat on WhatsApp

Mwongozo wa Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine

15423 Views
85 Purchases

Summary

Download Mwongozo wa Mapambazuko ya Machweo an hadithi nyingine. A new Kiswahili setbook used by secondary school students in Kenya and examined by KNEC in the KCSE exams.
Juu ya Mwongozo wa Mapambazuko ya Machweo
Mwongozo huu unanuiwa kumwongoza mwanafunzi ili kuilewa vyema pamoja na kuelewa uliopo kwenye Mapambazuko yam Machweo an hadithi nyingine. Hata hivyo ni muhimu mwanafuzi aisome kitabu hiki an kuelewa hadithi zote kabla ya kuutumia mwongozo huu.
What you will learn in the Mapambazuko ya Machweo guide
• Jalada ya diwani ya mapambazuko ya machweo na hadithi nyingine
• Ufaafu wa anwani ya ‘Mapambazuko ya machweo’ kwa hadithi zote
• Mandhari
• Ploti/msuko
• Maudhui
• Wahusika
• Mbinu za lugha na sanaa
• Hadithi fupi zote
• Maswali yam marudio
Details of the document
Format: docx
Number of pages: 131
Size: 368kb
Brief overview of the content
MWONGOZO WA MAPAMBAZUKO YA MACHWEO NA HADITHI NYINGINE

YALIYOMO
• Jalada ya diwani ya mapambazuko ya machweo na hadithi nyingine
• Ufaafu wa anwani ya ‘Mapambazuko ya machweo’ kwa hadithi zote
• Mandhari
• Ploti/msuko
• Mauthui
• Wahusika
• Mbinu za lugha na sanaa
• Hadithi fupi zote

JALADA YA DIWANI YA MAPAMBAZUKO YA MACHWEO NA HADITHI NYINGINE.
Jalada ya mbele na nyuma ya kitabu huwa ni jazanda au ishara ya maswala yanayosimuliwa katika kazi ya fasihi. Tukianza na jalada ya mbele, ukweli ni kwamba lina picha kadha.
Katika sehemu ya pili ya jalada hadi karibu kati, kuna picha za watu, vyombo mezani, kiti,gari lenye rangi nyekundu, nyumba iliyoezekwa kwa mabati yenye kutu, mchanga ulio na rangi hudhurungi usio na mimea yoyote,jua lenye mwangaza mweupe na wa rangi ya manjano.
Katika hadithi zote kumi na tatu zina jinsia ya kike na kiume kama ilivyo katika jalada hili. Baadhi ya wahisika ni watu wazima kama vile wazazi kama ilivyobainika kwa mwanaume na mwanamke wanaoinua juu mikono kuonyesha furaha iliyopindukia. Na ndivyo ilivyo katika hadithi zote humu diwani. Kuna wahusika wengi wanaokumbwa na furaha baada ya kumbazukiwa na maisha mapwa na bora zaidi kuliko wale waliyoishi hapo awali. Aidha wahusika hawa wa jinsia tofauti na ambao ni wanandoa ni ishara za wanandoa wengi wanaopatikana katika hadithi hizo kumi na tatu. Nyingi za ndio hizo zinakumbwa na changamoto tofauti tofauti.
Wahusika hawa wawili ni wa tabaka la chini, si la juu kama mwanaume anayefungua gari la kifahari na ambaye mavazi yake ni ishara za ukwasi. Hadithi zote katika diwani hii zina watu wa tabaka mbalimbali.
Kuna watu wawili mbali kiasi na hawa watatu wa mbele, hawa wawili wanaonekana kuwa wa jinsia tofauti pia. Yaelekea ni vijana walio katika shughuli za kikazi katika mgodi wa kitoa madini wa bwana Makutwa. Wana vifaa vya kufanya kazi. Vijana hawa wanaweza kuwa ni jazanda ya vijana wanaopatikana katika hadithi za diwani hii. Baadhi yao wanajishughulisha na masomo, utafutaji wa kazi, utakaji wa maisha bora na kadhalika. Wengi wao wanakumbwa na changamoto mbali mbali za maisha.
Ardhi yeye mchanga ya hudhurungi ni ishara ya ardhi ambayo haina mimea. Ardhi inayokosa mimea huwa haina matumaini kwa wakazi wake. Baadhi ya wahusika katika diwani hii hawana matumaini ya kupata kazi, kuendelea na elimu na kadhalika. Utupu huu wa ardhi pia unawezaashiria maovu yanayotendwa na wanajamii kwa hadithi hizi kama vile ukahaba, ufisadi nk.
Nyumba ya mabati yenye kutu ambayo kwa hakika ndio maskani yake makucha na macheo ni ishara ya makazi duni wanayoishi watu wa tabaka la kazi na wa chini. Baadhi ya hadithi za diwani hi kama ya pupa ambayo ina majengo yaliyoinamiana katika mtaa wa Mwinamo. Baadhi ya mandhari ya hadithi hizi ni kama vile mijini, sokoni, shuleni, vijijini miongoni mwa mengine.
Jua linaloonekana kwa mbali sehemu ya kati majalada upande ya kulia ni ishara ya jua linalochomoza mapambazuko. Machweo ya jua yanayoonyesha kukaribia kufika mwisho wa maisha ya baadhi ya wahusika kutokana na uzee. Au usumbufu Fulani wa maisha ambao haulekei kupata suluhisho. Nayo rangi ya manjano ya jua ni ishara ya matumaini. Wahusika wengi humu hadithini, licha kukumbwa na changamoto mbalimbali za maisha, wanamatumaini katika maisha yao ya baadaye.
Rangi ya samawati inayotawala sehemu kubwa ya jalada kuanzia kati kati hadi juu ni upeo wa anga ambao siku zote huwa na rangi hii. Na kama anga hii, maisha ni mapana na marefu na yamejaa changamoto za kila aina. Wahusika mbalimbali wanakumbwa na changamoto zinazowahuzunisha. Changamoto hizi zinapotatuliwa wanakumbwa na furaha.
Katika jalada ya nyuma kuna rangi ya manjano, rangi hi ni ishara ya matumaini. Wahusika wengi wana matumaini ya kuendelea na maisha licha ya kukumbwa na changamoto mbalimbali. Upande wa karibu chini wa jalada hili kuna rangi nyekundu ambayo siku zote huashiria hatari. Baadhi ya mambo na wahusika ni hatari kwa wahusika wengine wa hadithi hii. Wengi wao wanakumbwa na hatari za maisha hata baadhi yao kukikodolea kifo na macho lakini wakaponea chupuchupu.

UFAAFU WA ANWANI YA MAPAMZUKO YA MACHWEO kwa hadithi zote
Ingawa anwani mapambazuko ya machweo ni hadithi fupi iliyoandikwa na Clara Mommanyi, ni mwafaka kwa hadithi zote kumi na tatu za diwani hii.tutajadili mwafaka wake kutoka hadithi ya kwanza hadi ile ya mwisho.
• Fadhila za punda
Maisha ya Luka yanapomfikia machweo kutokana na umaskini anapambazukiwa na mengine ambapo anafanywa kuwa mtumishi katika kanisa. Senior pastor Lee Imani anamchukua ili awe anahudumu katika kanisa hili. Watu wanatoka mbali kuja kuombewa na hatimaye maisha maisha yanampambazukia zaidi Luka pale imani anapoaga Dunia na kuachiwa unogozi wa kanisa hili aidha anaupiga ukabwela chenga zaidi anapochaguliwa kama gavana.
• Msiba wa Kijitakia
Wanjumuiya katika hadithi wamekuwa katika maisha ya machweo ambapo wamekosa maendeleo kutokana na kuwachagua viongozi wasiowajibika kama vile Sugu Juniour. Wengi wao kama vile machoka na Zuhura ni maskini wasio na mbele wala nyuma. Wanaona maisha yakiwapambazukia ambapo yatakuwa bora zaidi hasa baada ya kumchagua kiongozi bora ambaye kulingana nayo ni Fumo Matata. Wanapiga kura kwa furaha wakifahamu kuwa maisha yao yataboreshwa na kiongozi huyu mpya.
..................

Below is the document preview. Purchase to access the complete document.

  • Page 1 – Mwongozo wa Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine – Kenyaplex
  • Page 2 – Mwongozo wa Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine – Kenyaplex
  • Page 3 – Mwongozo wa Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine – Kenyaplex
........

This is the end of this document preview. Buy to download the complete document.

Recommended Resources

More Resources


  • Grade 7 Mwongozo wa Novela ya Mshale wa Matumaini

    Mwongozo wa kusoma novela Mshale wa Matumaini iliyoandikwa na Profesa John Habwe. Hati hii inachambua kwa kina ploti, wahusika, maudhui, mandhari, mbinu za lugha na muhtasari wa kila sura. Inajadili...

    Price: KES :  80

  • Bridges Without Rivers and Other Stories Guide

    A comprehensive literature study guide on Bridges Without Rivers and Other Stories, designed to help learners understand short story elements through detailed story-by-story analysis. The guide...

    Price: KES :  100

  • Muhtasari wa Novela Mshale wa Matumaini

    Hati hii inatoa muhtasari wa kina wa novela Mshale wa Matumaini kwa kufuatilia matukio ya kila sura kuanzia ya kwanza hadi ya kumi. Inamwangazia mhusika mkuu Zingo na safari yake ya maisha katika...

    Price: KES :  80

  • Ploti ya Novela Mshale wa Matumaini

    Hati hii inaeleza kwa kina ploti ya novela Mshale wa Matumaini iliyoandikwa na Profesa John Habwe. Inafuatilia safari ya Zingo na mamake Zahara kama wakimbizi, changamoto wanazokumbana nazo, ubaguzi,...

    Price: KES :  50

  • Mbinu za Lugha (Tashbihi, Nahau, Methali) - Mshale wa Matumaini

    Hati hii inachambua kwa kina mbinu za lugha zilizotumika katika novela Mshale wa Matumaini. Inafafanua matumizi ya tashbihi, nahau, methali na tashihisi (uhaishaji) kwa kutoa mifano halisi kutoka...

    Price: KES :  50

  • Sifa za Wahusika katika Mshale wa Matumaini

    Hati hii inachambua sifa za wahusika wakuu na wasaidizi katika novela Mshale wa Matumaini. Inamwangazia mhusika mkuu Zingo pamoja na wahusika wengine kama Kadurenge Mlawatu, Mzee Musambale na Bi...

    Price: KES :  50

  • Ufaafu wa Anwani ya Mshale wa Matumaini

    Hati hii inafafanua kwa kina ufaafu wa anwani ya novela Mshale wa Matumaini kwa kuonyesha maana mbalimbali inayojitokeza katika hadithi. Inaeleza jinsi anwani hiyo inavyowakilisha matumaini ya...

    Price: KES :  40

  • Maudhui Katika Uteuzi Wa Chale

    Hati hii inachambua kwa kina maudhui yanayojitokeza katika uteuzi wa Chale, ikiwemo ukuzaji wa vipawa, elimu, uwajibikaji, mabadiliko ya hali ya anga, uhifadhi wa mazingira, magonjwa na athari zake,...

    Price: KES :  80

  • Mbinu za Lugha katika Uteuzi wa Chale

    Hati hii inatoa uchambuzi wa kina wa mbinu za lugha zilizotumika katika Uteuzi wa Chale. Inafafanua matumizi ya mbinu mbalimbali za kifasihi kama lakabu, tashbihi, tashihisi (uhuishi), sitiara,...

    Price: KES :  80

  • Muhtasari wa Riwaya Uteuzi wa Chale

    Hati hii inawasilisha muhtasari wa kina wa riwaya Uteuzi wa Chale, ikifuatilia maisha ya Chale kuanzia kipaji chake cha utangazaji, changamoto za ugonjwa, safari ya hospitalini, hadi uamuzi wake wa...

    Price: KES :  40

  • Mwongozo wa Novela Uteuzi Wa Chale

    Huu ni mwongozo mzima wa novela Uteuzi wa Chale ulioandikwa na Asumpta K. Matei. Unatoa uchambuzi wa kina wa muhtasari wa riwaya, ufaafu wa anwani, maudhui, dhamira, wahusika, mbinu za lugha na ujumbe...

    Price: KES :  100

  • Wahusika na Sifa Zao katika Uteuzi wa Chale

    Hati hii inachambua kwa kina wahusika na sifa zao katika riwaya Uteuzi wa Chale. Inamwangazia mhusika mkuu Chale pamoja na Jibril, Bi Pili, Sudi, Dkt. Maarifa, wanajamii wa Kaloleni na kakake Chale,...

    Price: KES :  50

  • A guide on the Pearl by John Steinbeck

    A guide on the Pearl by John Steinbeck.

    Price: KES :  250

  • Guide To The Blossoms of the Savannah

    Blossoms of the Savannah Guide: Detailed and Comprehensive

    Price: KES :  150

  • Mwongozo wa Tumbo lisiloshiba na hadithi nyingine

    Dibaji Mwongozo huu ni matokeo ya jitihada za Maria Mvati, James Kanuri na Saul S. Bichwa. The NES wameona kuwa ni muhimu kutayarisha mwongozo huu ili kuwasaidia walimu na wanafunzi katika kuelewa...

    Price: KES :  200

  • Guide To The Memories We Lost and Other Stories

    This document contains a definitive guide to the new set book "Memories we lost and other stories". It is the best to have at the moment. Brief Overview: About the Author The author...

    Price: KES :  290

  • Blossoms of the Savannah Guide

    This study guide provides a detailed analysis of the novel Blossoms of the Savannah. The analysis is aimed at preparing KCSE candidates for both the excerpt and the compulsory essay question in paper...

    Price: KES :  200

  • KCSE Revision Oral Literature and Poetry

    KCSE Revision Oral Literature and Poetry. Detailed and comprehensive study guide. Brief Overview: What is poetry? It is not easy to say what exactly poetry is. But poetry explores the...

    Price: KES :  300

  • Combined Guide for Caucasian Chalk Circle and Betrayal in the City

    This is a combined analysis of Caucasian Chalk Circle and Betrayal in the City set texts. Brief Overview: The Caucasian Chalk Circle Summary The Caucasian Chalk Circle begins with a Prologue...

    Price: KES :  50

  • Geography Charts Diagrams

    Explore Geography Charts and Diagrams - a versatile resource providing visual aids to enhance geographical understanding, perfect for teachers and students alike.

    Price: KES :  0

  • Guidelines For English Paper 1

    This is a handout that gives learners and teachers tips on areas to prepare for before they sit for their English Paper 1 KCSE examinations. ENGLISH PAPER 101 CONTENT AND GUIDELINES By Zacch...

    Price: KES :  350

  • He's Far Too Much Guide Book

    This notes can be used by a tutor and student-teachers for reference purpose in the set book He's Far Too Much. Brief Overview: The play is written by Said Mohamed "AMEZIDI" but translated in...

    Price: KES :  180

  • Carribean Literature Notes

    This is about Caribbean literature: its early inhabitants and history of oppression with description of George Lammings book "In the castle of my skin" ..............

    Price: KES :  0

  • A Doll's House Guide - Notes

    This is a guide to the text "Doll's House".It has handled the form and structure of the text. Thus guiding both the teachers and students in preparation for the examination. ABOUT THE...

    Price: KES :  200

  • Research Methodology Notes

    This document contains the process and the format of writing a research project. UNIT OF ANALYSIS ? Unit of Analysis refers to the level of aggregation of the data collected during the subsequent...

    Price: KES :  500

  • KASNEB Accounting Technicians Diploma Syllabus July 2018

    KASNEB Accounting Technicians Diploma Syllabus July 2018. TABLE OF CONTENTS LEVEL I Page Paper No. 1 Introduction to Financial Accounting 1 Paper No. 2 Principles of Business Law 3 Paper No. 3...

    Price: KES :  50

  • Helping Children with Special Needs

    Introduction By the end of this article, you should be able to: a) Discuss bow to identify', rehabilitate and refer children with special needs. b) Explain how to counsel children with special...

    Price: KES :  100

  • An attachment/Internship study guide

    This attachment guide will be useful for students going for attachment/internship or taking an internship attachment. I will be useful and you prepare to start your attachment, during your...

    Price: KES :  100

  • Simplified Poetry Study Guide for Form 1 to Form 4

    Simplified poetry study guide book with exhaustively discussed poetry concepts supported with enough explanations, illustrations and exemplifications. for K.C.S.E, P.T.E and students taking...

    Price: KES :  200

  • Arrow of God Short Notes

    This document has analysed the characters and has summarized the plot of the novel arrow of God.it can be used by student teacher's during revisions. Arrow of God Summary The novel is set in the...

    Price: KES :  200

More Content By 35824167


View all resources  

What Our Users Say