Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Ni nini umuhimu wa kusanifisha lugha ya Kiswahili?

Ni nini umuhimu wa kusanifisha lugha ya Kiswahili?

Answers


kinyua
– Ili kuwe na lahaja moja rasmi kati ya hizo nyingi ya kutumiwa.
- Kuwe na hati moja rasmi ya kutumia katika maandishi ya Kiswahili (kirumi au kairabu-kiswahili
hutumia hati za kirumi
- Ili kuwe na lugha wastani ya kutumiwa katika tafsiri za maandishi k.m kutafsiri biblia
- Husawazisha maandishi ya kitaaluma yaliyokuwepo na kuandika kanuni za lugha – sarufi
- Kuwe na lugha moja ya kitawala
- Kuwe na lugha moja ya kujifunza
- Kuwe na lugha moja ya kutumia ktk elimu
- Kuwe na lugha moja ya kutumia kukuzwa
monica20 answered the question on October 10, 2017 at 15:36

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions