Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Tambulisha tofauti kati ya istiara na mbazi

Tambulisha tofauti kati ya istiara na mbazi

Answers


KELVIN
Istiara ni adithi ambayo maana yake huwakilisha maana nyingine iliyofichika k.v. hurafa ambapo wanyama huwakilisha binadamu ilhali mbazi ni hadithi fupi inayotolewa kama mfano kumkanya au kumwelekeza mtu .
kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:11

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions