Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Nyimbo za nyiso zina sifa zipi?

Nyimbo za nyiso zina sifa zipi?

Answers


kelvin
1. Zilitoa sifa kwa waliotiwa jandoni (waliopashwa tohara) wazazi na wasimamizi wao.
2. Ziliimbwa kuwapa wavulana ujasiri wa kukabili kisu cha ngariba
3. Zinatoa mafunzo kwa wavulana kuhusu majukumu yao mapya baada ya kutiwa jandoni.
4. Katika baadhi ya jamii, nyiso huimbwa usiku wa kuamkia siku ya kupasha tohara
5. Maudhui katika nyiso hutofautiana kutoka jamii hadi nyingine.
6. Maudhui yanaweza kuwa ya kuonya dhidi ya kutoa siri, kuwaandaa kwa uchungu watakaohisi au kukejeli woga.

kevowmuchiri answered the question on July 24, 2018 at 12:32

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions