Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Eleza matumizi ya mbinu ya utata katika vitendawili huku ukitolea mifano

Eleza matumizi ya mbinu ya utata katika vitendawili huku ukitolea mifano.

Answers


KELVIN
Baadhi y vitendawili huweza kufasiriwa kwa njia zaidi ya moja tunasema kitendawili cha aina hii kina utata. Utata katika vitendawili husababishwa na hali kwamba jibu la kitendawili hutokana na mazingira.watu tofauti huweza kuwa na majibu tofauti kwa kitendawili hicho hicho kutegemea hali ambayo inawazunguka.
Kwa mfano
i) Inachurura inaganda (asali au gundi )
ii) Gari la kila mtu (miguu au jeneza au kifo )

kalvinspartan answered the question on July 30, 2018 at 17:46

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions